RC KUNENGE AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHINA JENERALI WA UHAMIHAJI NCHINI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge akiwa na Kamishina Jenerali wa Uhamihaji hapa Nchini Dk. Anna Makakala, kabla ya mazungumzo yao, leo. Mazungumzo hayo yaliyofanyika Ofisini kwa Mkuu huyo wa mkoa, yalihusu masuala mbalimbali ikiwemo kuimarisha utendaji wa kazi katika masuala ya Uhamihaji.
Post a Comment