Featured

    Featured Posts

CCM ZANZIBAR WATOA MKONO WA POLE KWA ACT-WAZALENDO KWA KUFIWA NA MWENYEKITI WAO MAALIM SEIF SHARIF HAMAD

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Abdulla Juma Sadalla akiwa pamoja na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika ofisi za Makao Makuu ya Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Vuga kwa ajili ya kutoa pole kwa Viongozi wa Chama hiko kufuatia msiba wa Mwenyekiti wao na Taifa Mhe Maalim Seif Sharif Hamad.


 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana