Familia ya Kawawa na Kayugwa kwa pamoja tunawaarifu kuwa mazishi ya Marehemu Mchungaji Annette Ashura Kawawa yatafanyika siku ya Jumatano tarehe 3/3/2021 saa 10 alasiri kwenye Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Kabla ya hapo kutakuwa na ibada ya mazishi na heshima za mwisho kwa Marehemu itakayofanyika Siku hiyohiyo kwenye viwanja vya Leaders club Kinondoni kuanzia saa 6 mchana.
Post a Comment