China imezindua programu ya vyeti vya afya kwa wasafiri wa ndani, ikiongoza dunia katika mipango ya kuanzisha kitu kinachoitwa hati za kusafiria za virusi.
Cheti hicho cha kidigitali, ambacho kinaonyesha hali ya chanjo ya mmiliki na matokeo ya kipimo cha virusi, kinatolewa kwa wakazi wote wa China kwa kutumia programu ya mitandao ya kijamii ya WeChat ambayo ilizinduliwa Jumatatu.
Cheti hicho kinatolewa “kusaidia kuendeleza kufufua uchumi wa dunia na kurahisisha usafiri wa kuvuka mipaka kinatolewa tu kwa raia wa China na si lazima.,” Wizara ya Mambo ya Nje
Cheti hicho, ambacho pia kinapatikana kwa njia ya karatasi, kinafikiriwa kuwa ni “pasipoti ya kwanza duniani ya virusi”
.
Post a Comment