Featured

    Featured Posts

DK CHAUA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WADAU KUJADILI MAPENDEKEZO YA SHERIA MPYA YA TEHAMA

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Zainab Chaula akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha Wadau kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa sheria ya TEHAMA jijini Dodoma Machi 16, 2021. Kulia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria wa wizara hiyo, Lugano Rwetaila.
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Zainab Chaula akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha Wadau kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa sheria ya TEHAMA jijini Dodoma Machi 16, 2021. Kulia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria wa wizara hiyo, Lugano Rwetaila na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa wizara, Godleader Shoo..
Baadhi ya wadau wakisikiliza kwa makini wakati Katibu Mkuu, Dk. Chaula akizungumza.





Katibu Mkuu Dk. Chaula akiwa na wadau mbalimbali katika picha ya pamoja 
 


KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Zainab Chaula amefungua kikao kazi cha Wadau kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa sheria ya TEHAMA jijini Dodoma Machi 16, 2021.Amesema kuwa sheria hiyo ikitungwa itasaidia kuboresha mfumo wa mawasiliano katika sekta mbalimbali nchini, hivyo kuitoa nchi kutoka uchumi wa kati na kuipeleka uchumi wa juu.Kikao hicho kimehudhuriwa na wadau kutoka sekta binafsi na maofisa wa Serikali.Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video Dk. Chaula akizungumzia umuhimu huo wa uboreshaji wa Tehama na Mkono wa Taifa...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana