Featured

    Featured Posts

WATANZANIA MSIHOFU RAIS SAMIA NI JASIRI, ANAJIAMINI-ASKOFU CHANDE


Mchungaji Askofu Dk. Evance Chande wa EAGT Nazaret Ipagala.

Na Richard Mwaikenda, Dodoma ASKOFU Dk. Evance Chande wa Kanisa la EAGT Nazaret, Ipagala jijini Dodoma, amewaomba watanzania kumpa ushirikiano mkubwa Rais mpya Mama Samia Suluhu Hassani kwani ni Mama mtulivu, jasiri, mama anayejiamini, anayethubutu na asiye na hofu pia hana papala katika utekelezaji mambo hata wakati wa kuongea. Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Askofu Dk. Chande akielezea kwa wanahabari ofisini kwake jijini Dodoma hivi karibuni kuhusu uhodari wa Rais Samia na kuwataka watanzania kutokuwa na hofu naye na kutothubutu kumdharau kwa kuwa ni mwanamke ana uwezo wa kuitelea nchi maendeleo ...

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana