Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. Bashiru Ally Kakurwa akila kiapo cha utiifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge, Job Ndugai bungeni Dodoma, baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan.Picha zote na Richard Mwaikenda
Balozi Liberata Mulamula akila kiapo cha utiifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge, Job Ndugai bungeni Dodoma, baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akila kiapo cha utiifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge, Job Ndugai bungeni Dodoma,baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Post a Comment