Balozi Liberata Rutageruka Mulamula
Dk. Bashiru Ally Kakurwa
Wabunge watatu walioteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan wanakula kiapo cha uminifu bungeni Dodoma asubuhi hii.
Wabunge hao ni aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. Bashiru Ally Kakurwa, Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Rutageruka Mulamula na Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk.
Balozi Mulamula ameteuliwa na Rais Samia kuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Post a Comment