Binti Glorious Saria amebuni shajala alizozinakshi kwa kshonea mapambo ya rangi mbalimbali za vitenge maalumu kwa wanaume na wanawake.
Binti huyo ametinga nazo kuuza kwenye mabanda ya maonesho ya Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM nje ya Ukumbi wa CCM wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. 15,000.Mdau, enedelea kusikiliza kupitia clip hii ya video, Binti huyo akielezea jinsi alivyobuni...Mhariri Blog ya Taifa ya CCM0754264203
Post a Comment