Mbunge wa Jimbo la Lupa mkoani Mbeya, Masache Kasaka ameishauri serikali kurejesha ruzuku iliyokuwa inatolewa kwa wachimbaji wadogo wa madini, pia masoko ya madini yafanye kazi siku zote 7 za wiki kuwawezesha wachimbaji kuuza madini yao kila siku badala ya utaratibu wa sasa wa siku za sikukuu na wiki endi kufungwa.
Kasaka ametoa ushauri huo wakati akichangia majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Madini bungeni Dodoma Aprili 29,2021.Mdau nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video, Mbunge Kasaka pamoja na mambo mengine akitoa ushauri huo....Mhariri Blog y Taifa ya CCM0754264203
Post a Comment