Featured

    Featured Posts

MWAKANG'ATA AIOMBA SERIKALI KUTAFUTA WAWEKEZAJI MAKINI WA HERIUM RUKWA+video




 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa Bupe Mwakang'ata ameiomba serikali kutafuta wawekezaji makini wa Herium wenye uwezo wa kusaidia maendeleo ya wananchi walo karibu na maeneo yanapochimbwa. Madini hayo yanapatikana kwa wingi ukanda wa Ziwa Tanganyika mkoani Rukwa.Ametoa maombi hayo wakati wa kuchangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Madini, Bungeni Dodoma Aprili 29,2021. MDAU NAKUOMBA UENDELEE KUSIKILIZA CLIP HII YA VIDEO, MBUNGE MWAKANG'ATA AKIISHAURI SERIKALI JUU YA SUALA HILO PAMOJA NA MAMBO MENGINE

Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana