Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Madini bungeni Dodoma, ambapo ameishauri serikali kutenga fedha nyingi kwa utafiti wa madini ili kutambua kiasi cha madini katika maeneo mbalimbali nchini.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mwanyika akielezea umuhimu wa serikali kuongeza bajeti ya utafiti wa madini...Mhariri Blog ya Taifa ya CCM0754264203
Post a Comment