Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Joseph Kamonga ameihoji Serikali leo Bungeni Dodoma, kwamba ni lini itakamilisha ujenzi wa Chuo cha Veta Shaurimoyo kilichopo Ludewa ili kuzalisha watalaam watakao saidia kutekeleza mradi wa Liganga na Mchuchuma utakapoanza?
Mdau endelea kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Kamonga akihoji swali hilo na jinsi alivyojibiwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Juma Kipanga....Mhariri Blog ya Taifa ya CCM0754264203
Post a Comment