Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaagiza wabunge na mawaziri wote kesho Alhamis Aprili 22, 2021 kuwepo bungeni wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge na Taifa.
Agizo hilo amelitoa leo wakati wa kikao cha Bunge, jijini Dodoma. Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia kwenye clip hii ya video, Spika Ndugai akitoa agizo hilo...
Post a Comment