Featured

    Featured Posts

KANISA LA EAGT DODOMA WAMUOMBEA RAIS SAMIA APEWE NGUVU, HEKIMA NA UJASIRI

Mwinjilisti Joseph Fungo wa Kanisa la EAGT Nazaret lililopo Ipagala, Dodoma akiongoza mahubiri wakati wa Ibada ya Sikukuu ya Kufufuka kwa  BwanaYesu Kristo Pasaka.Picha zote na Richard Mwaikenda
Waumini wakiwa kwenye ibada hiyo


Kanisa la EAGT Nazaret Ipagala, Dodoma.

WAUMINI wa Kanisa la EAGT Nazaret Ipagala, jijini Dodoma, wakiongozwa na Mwinjilisti Joseph Fungo wakati wa ibada ya sikukuu ya kufufuka kwa Yesu Kristo, Pasaka wameliombea Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumuomba Mungu ampe nguvu,hekima, uhahamu na ujasiri aliongoze vyema Tanzania Taifa liendelee kuwa salama pamoja na kuliponya na janga la corona.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video Mwinjilisti Joseph Fungo akihubiri juu ya mambo hayo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana