Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, na Waumini wa Dini ya Kikristo katika Ibada ya Misa Takatifu ya kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika leo April 04, 2021 katika Kanisa Kuu Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiwa katika Ibada ya Misa Takatifu ya kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika leo April 04, 2021 katika Kanisa Kuu Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO ASHIRIKI IBADA YA PASAKA JIJINI DODOMA, LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Waumini wa Dini ya Kikristo na Watanzania katika Ibada ya Misa Takatifu ya kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika leo April 04, 2021 katika Kanisa Kuu Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma.
Post a Comment