Featured

    Featured Posts

KENYA YATOA SHARTI KWA RAIA WA UINGEREZA WANAOINGIA NCHINI HUMO KUKAA KARANTINI SIKU 14 KWA GHARAMA ZAO

 Baada ya Uingereza kuishinikiza Kenya kufunga mpaka wake na Tanzania, Kenya nayo imeipa kigingi Uingereza kwamba hakuna raia wa Uingereza kuingia nchini humo bila kukaa karantini ya siku 14 tena kwa gharama zake.


Kenya imelikataa shinikizo la Uingereza la kufunga mpaka wake na Tanzania kwa kutoa sababu za msingi. Soma Taarifa hiyo iliyotolewa na Kenya, jana.





author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana