Featured

    Featured Posts

MAMBO YA BUNGENI DODOMA LEO

Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga (kushoto) akijadiliana jamo na Mbunge wa Mbinga Vijijini, Benaya Kapinga kwenye viwanja vya Bunge Dodoma leo Aprili 6,2021, baada ya Bunge kuahirishwa hadi Alhamisi.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Rugangira (kushoto) akizungumza jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda  kwenye viwanja vya Bunge Dodoma leo Aprili 6,2021, baada ya Bunge kuahirishwa hadi Alhamisi.
Wabunge wakiwa lango kuu la ukumbi wa Bunge baada Naibu Spika, Dkt Tulia Akson  leo Aprili 6,2021, kuahirisha Bunge hadi Alhamisi.
Wabunge wakijadiliana mambo mbalimbali nje ya ukumbi wa Bunge leo.

 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana