Featured

    Featured Posts

MBUNGE MWANYIKA APIGANIA BUNGENI UJENZI WA BARABARA YA NJOMBE, UWEMBA, LUPONDE HADI LUSITU

Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini, Deo Mwanyika akiwa bungeni Dodoma Aprili 6, 2021 alipouliza swali kwamba ni lini ujenzi barabara ya kutoka Njombe, Uwemba, Luponde hadi Lusitu utakamilishwa kwa kiwango cha lami? PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Msongwe akijibu swali hilo.


Na Richard Mwaikenda, Dodoma

 Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini, Deo Mwanyika ameipigania bungeni barabara ya kutoka Njombe, Uwemba, Luponde hadi Lusitu ijengwe kwa kiwango cha lami.

Mwanyika aliuliza swali la nyongeza kwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, kwamba ni lini barabara hiyo muhimu kwa uchumi wananchi wa eneo hilo itajengwa kwa kiwango cha lami? Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mwanyika akiuliza swali hilo na jinsi lilivyojibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi....
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana