Featured

    Featured Posts

MAMBO YA BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akjadiliana jambo na baadhi ya wabunge kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma Aprili 1,2021.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi (kushoto), akizungumza jambo na Mbunge wa Mwanga, Joseph Tadayo kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma.


Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda (kushoto), akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto. Mwanaidi Ali Hamis kwenye viwanja vya Bunge Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielezwa jambo na Mbunge wa Mikumi, Denis Lazaro 

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (katikati) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini, Cosato Chumi (kulia) na Naibu Waziri wa  Katiba na Sheria, Geofrey Pinda mara baada ya kuapishwa kuwa mbunge wa kuteuliwa.

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Kitila Mkumbo (kushoto), akijadiliana jambo na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima (kulia) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana