Featured

    Featured Posts

MATUKIO ZAIDI BAADA YA KATIBU MKUU KIONGOZI, MAWAZIRI KUAPISHWA IKULU , CHAMWINO DODOMA

Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi  Hussein Katanga akifurahia jambo na  Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), Queen Mlozi (kushoto), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Geofrey Mwambe na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Elisante Ole Gariel mara baada ya kuapishwa Ikulu Chamwino, Dodoma, Aprili mosi, 2021. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James (kushoto) akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria,     Prof. Sifuni Mchome..

Mbunge wa Jimbo la Tabora Kaskazini, Almas Maige (Kushoto)  akimpongeza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula  kwa kushika wadhifa huo.



Sehemu ya Manaibu waziri
Sehemu ya Makatibu wakuu

Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Mchemba akizungumza na vyombo vya habari baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo.
Mwenyekiti wa UWT,  akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula 
Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu akizungumza na vyombo vya habari baada ya kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Mchemba akijadiliana jambo na Mbunge wa Manonga, Seif Gulamali.
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi akizungumza na Mbunge wa Mikumi,Denis Lazaro.

 Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein  Katanga akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki , Balozi Liberata Mulamula kwenye viwanja vya Ikulu, Chamwino Dodoma.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana