Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata (pichani) ameihoji Ofisi ya Rais (TAMISEMI), kuwa ni lini Barabara ya kutoka Kilando-Katete- Katovu hadi Korongwe wialaya ya Nkasi itakamilika?
Mwakang'ata ameuliza swali hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 21, 2021. Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mwakang'ata akiiipambania barabara hiyo huku akijibiwa na Naibu Waziri wa Tamisemi, David Silinde....
Post a Comment