Featured

    Featured Posts

SPIKA NDUGAI, NAIBU SPIKA NA MWENYEKITI BUNGE SPORTS CLUB WAPOKEA ZAWADI YA JEZI KUTOKA AZAM SPORTS CLUB BUNGENI JIJINI DODOMA

 


Mwenyekiti wa timu ya Bunge Sports Club, Mhe. Tarimba Abbas (wapili kushoto) akipokea zawadi ya jezi kutoka kwa Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Azam Sports Club, Ndg. Thabit Zakaria pale ugeni kutoka Azam Sports Club ulipomtembelea leo Bungeni Jijini Dodoma. Watatu kushoto ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) na Kiongozi wa Msafara na Meneja Mauzo na Masoko, Ndg. Tunga Ally (wapili kulia), lengo kuu likiwa ni kutambulisha jezi na kukuza Brand ya Azam

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Meneja Mauzo na Masoko wa Azam Sports Club na Kiongozi wa Msafara, Ndg. Tunga Ally pale ugeni kutoka Azam Sports Club ulipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Lengo kuu likiwa ni kutambulisha jezi na kukuza Brand ya Azam

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akipokea zawadi ya jezi kutoka kwa Meneja Mauzo na Masoko wa Azam Sports Club, Ndg. Tunga Ally (katikati) pale ugeni kutoka Azam Sports Club ulipomtembelea leo Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Habari na Mawasiliano, Ndg. Thabit Zakaria, lengo kuu likiwa ni kutambulisha jezi na kukuza Brand ya Azam

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipokea zawadi ya jezi kutoka kwa Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Azam Sports Club, Ndg. Thabit Zakaria (katikati) pale ugeni kutoka Azam Sports Club ulipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Meneja Mauzo na Masoko, Ndg. Tunga Ally, lengo kuu likiwa ni kutambulisha jezi na kukuza Brand ya Azam

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana