Mbunge wa Itilima, Njalu Silanga ameulalalamikia Mfumo wa Soko la Bidhaa la Kieletroniki (Tanzania Mercantile Exchange – TMX) kwamba uache kuwanyonya wakulima bali ufanye kazi yake ya kusaidia kutafuta kielektroniki masoko ya mazao nje ya nchi.
Silanga ameyasema hayo kwa uchungu alipokuwa akichangia Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu mwishoni mwa wiki bungeni Dodoma. Mdau, nakuomba uendelee kusikliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Silanga akihoji mambo mbalimbali ikiwemo uhaba wa watumishi katika sekta ya Afya pamoja na mahitaji ya usafiri wa ndege Kanda ya Ziwa. Pia utasikia majibu ya Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuhusu hatua waliyoichukua kuhusu TMX ....
Post a Comment