Featured

    Featured Posts

MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM ULIVYORINDIMA DODOMA

Mwenyekiti mpya wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan akionesha tuzo aliyozawadiwa  na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT-CCM) baada ya kuchaguliwa kwa asilimia mia moja na wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia akikabidhiwa tuzo maalumu na Mwenyekiti wa UWT, Dkt. Gaudentia Kabaka kwa kumpongeza kwa kushinda kwa kishindo katika uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma. 

Mama Salma Kikwete Mbunge wa Jimbo la Mchinga, mke wa Rais mstaafu wa Awamu ya Tano, Jakaya Kikwete akiungana na wajumbe wenzake wa Mkoa wa Lindi kushangilia ushindi wa Mwenyekiti wa CCM, Mama Samia.
Makatibu wakuu wastaafu wa CCM,Wilson Mkama (kushoto), Abdulrahman Kinana (katikati) na Ali Bashiru wakiwa na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda na Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Ameir Pandu Kificho kwenye mkutano huo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani, Dkt. Ali Mohamed Shein akipiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.



Makatibu wakuu wastaafu wa CCM,Wilson Mkama (kushoto), Abdulrahman Kinana (katikati) na Ali Bashiru wakiwa na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda na Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Ameir Pandu Kificho kwenye mkutano huo






Wakijiandaa kwenda kukusanya kura
Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba (kushoto) akijadiliana jambo na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye wakati wa mkutano mkuu maalumu.
Wajumbe kutoka mkoa wa Mwanza
Wajumbe kutoka Mkoa wa Kilimanjaro


Baadhi ya maofisa wa CCM wakiwa kwenye mkutano huo



Rais mstaafu wa Awamu ya Nne,  Jakaya Kikwete akikumbatiana kwa fura na Lazaro Nyarandu ambaye alitangaza kurejea CCM kutoka Chadema ambako alikuwa  Mwenyekiti Kanda ya Kati na Mjumbe wa Kamati Kuu. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA






 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana