Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) leo imefanya kikao cha kupitia taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Taasisi kwa kipindi cha robo ya tatu ya mwaka 2020/2021. Zifuatazo ni picha za wajumbe mbalimbali wakiwa katika kikao hicho(Picha zote na TARI).
Post a Comment