Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) leo
imeanza ziara ya kutembelea na kukagua shughuli za utafiti na maendeleo ya mazao ya korosho, ufuta na karanga katika Kituo cha Utafiti wa Kilimo chaTARI kilichopo Naliendele mkoani Mtwara.
Pichani Mwenyekiti wa Bodi hiyo ambaye aliongoza msafara katika ziara hiyo Dk. Yohana Budeba akikagua zao la karanga katika kituo hicho, leo. (Picha zote na TARI)
Post a Comment