Featured

    Featured Posts

VIJIJI 138 KATAVI KUNUFAIKA NA MIRADI YA MAJI ITAKAYOKAMILIKA JUNI 2021-NAIBU WAZIRI MAHUNDI+video




Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswaii na majibu bungeni Dodoma Aprili 16, 2021, ambapo amemjibu Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Katavi, Martha Maliki kuwa vijiji 138 vitanufaika na miradi ya maji inayotarajiwa kukamilika Juni 2021 mkoani humo. Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video, Naibu Waziri Mahundi akijibu kiufasaha maswali ya wabunge kuhusu ufumbuzi wa changamoto za maji katika Mkoa wa Katavi na Tanzania kwa ujumla...

 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana