Featured

    Featured Posts

WABUNGE WANAWAKE WAPENDEZA NA VAZI LA HIJAB BUNGENI

Mbunge wa Viti Maalumu kutoka Zanzibar, Wanu Hafidh Ameir na wabunge wengine wanawake wakipendeza kwa vazi la hijab bungeni Dodoma Aprili 17, 2021. Wabunge leo wamehitimisha majadiliano ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake. Wanu ni mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mbunge wa Mchinga, Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mke wa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete.























 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana