Mbunge wa Viti Maalumu (Wazazi Tanzania Bara), Bahati Ndingo ameishauri serikali kuboresha Vituo vya Kulelea Wazee nchini na kujenga miundombinu mizuri inayowafaa.
Mbunge huyo kutoka Mkoa wa Mbeya, pamoja na mambo mengine ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto bungeni Dodoma leo Mei 11, 2021.
Post a Comment