Featured

    Featured Posts

MBUNGE MPINA AWAALIKA BUNGENI WASOMI WA KISESA

Mbunge wa Kisesa, Meatu mkoani Simiyu, Luhaga Mpina  (aliyevaa tai nyekundu) akiwa na wasomi wa vyuo  wazaliwa wa Kisesa aliowaalika kutembelea Bunge, Dodoma leo Mei 11,2021.
Wasomi wa vyuo  walioalikwa bungeni na Mbunge wa Kisesa,  Luhaga Mpina wakifuatilia muenendo wa bunge wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya  Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.


Mbunge Mpina akiwa na wanafunzi karibu na lango kuu la kuingilia bungeni.
Mpina akipiga picha za kumbukumbu na wanafunzi hao kutoka vyuo mbalimbali nchini

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinzia, Wazee na Watoto. Dkt. Doroth Gwajima akiwa na wanafunzi hao kwenye viwanja vya Bunge. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana