BUKUKU MWALIMU WA VETA CHANG'OMBE ABUNI MAABARA INAYOTEMBEA+video
Mwalimu wa Chuo cha Ufundi Chang'ombe jijini Dar es Salaam, Emmanuel Bukuku amebuni maabara inayohamishika ambayo kwa hivi sasa ipo kwenye Maonesho ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Bukuku akielezea jinsi alivyojiwa na wazo la kuunda maabara hiyo kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi wanaosoma masomo ya sayansi nchini....
Post a Comment