Mbunge wa Kishapu mkoani Shinyanga, Boniface Butondo akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Madini bungeni Dodoma, ameishauri Serikali kutia mkono kuuokoa mgodi wa almasi kukopa fedha benki ya CRDB na NMB kuuongezea mtaji mgodi huo ambao uchimbaji unasuasua, lakini pia ameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa muda mrefu wa mipaka kati ya mmoja wa wawekezaji na Wananchi jimboni humo.
Ndau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Butondo akitoa ushauri wake huo.... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment