Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi (kulia) akimkabidhi kabrasha Mkuu wa Mkoa huo Mpya Dkt. Bilinith Mahenge katika hafla iliyofanyika ofisi ya mkuu wa mkoa mjinini hapa.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi (kulia), akizungumza katika hafla hiyo.
Hafla ikiendelea. |
Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Ahmed Kaburu, akizungumza katika hafla hiyo. |
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida wakijitambulisha kwa mkuu wa mkoa mpya.
Wakuu wa Wilaya Mkoa wa Singida wakijitambulisha kwa mkuu wa mkoa mpya.
Viongozi wa dini Mkoa wa Singida wakijitambulisha kwa mkuu wa mkoa mpya.
Wenyeviti wa Halmashauri wakijitambulisha kwa mkuu wa mkoa mpya.
Wakurugenzi wa Halmashauri wakijitambulisha kwa mkuu wa mkoa mpya.
Hafla ikiendelea..
Hafla ikiendelea..
Hafla ikiendelea.
Post a Comment