Featured

    Featured Posts

JANETH MAHAWANGA AIBANA SERIKALI KUHUSU HUDUMA ZA KIPOLISI PEMBEZONI MWA MIJI IKIWEMO DAR ES SALAAM

Bungeni, Dodoma

Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam kupitia Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Janeth Mahawanga amehoji, "Serikali ina mpango gani wa kutatua changamoto ya huduma za ki-Polisi katika maeneo ya pembezoni mwa miji ukiwemo mkoa wa Dar es Salaam"?.

Janeth Mahawanga ameuliza changamoto hiyo wakati wa kipindi cha maswali na majibu katika Mkutano wa tatu wa Kikao cha 29 cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichofanyika jana, Jumatatu, Mei 17, 2021, jijini Dodoma.

Tafadhali, fungua Clip hapo chini, umsikilize vema Mbunge Janeth Mahawanga alivyouliza swali hilo na majibu aliyopewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo. 

Bofya Hapo👇
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana