|
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo akisimikwana wazee wa kimila kuwa Chifu wa Kabila la Wagogo na kuitwa Chifu Mazengo wakati wa mkutano wa kujitambulisha kwa wanachama wa CCM Mkoa wa Dodoma Mei 21,2021, jijini Dodoma. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
|
Chongolo akivishwa mgolole na wazee wa kimila wa Mkoa wa Dodoma.
Mdau nakuomba uendelee kuona/kusikiliza kupitia clip hii ya video yaliyojiri wakati Katibu Mkuu wa CCM, Chongolo akisimikwa kuwa Chifu wa Wagogo......
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment