Featured

    Featured Posts

MAPOKEZI YA KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO NA SEKRETARIETI YOTE YA CCM YATIKISA DAR

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi kwa jumla, baada ya Katibu Mkuu huyo na Sekretarieti yote ya CCM, kupokewa rasmi katika mkoa wa Dar es Salaam, kwenye Ofisi Kuu ya CCM mkoa huo leo.

Mwanzo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akisalimia baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM, baada ya Katibu Mkuu huyo na Sekretarieti yote ya CCM, kupokewa rasmi katika mkoa wa Dar es Salaam, kwenye Ofisi Kuu ya CCM mkoa huo leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme na watatu kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Ketty Silvia Kamba.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akisalimia baadhi ya viongozi wa CCM, baada ya Katibu Mkuu huyo na Sekretarieti yote ya CCM, kuwasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM mkoa wa Dar es Salaam, kwa ajili ya mapokezi rasmi, leo

Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo na wajumbne wote wa Sekretarieti ya CCM wakisubiri kufanyiwa mapokezi rasmi na Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kwa kumvalisha skafu Katibu Mkuu huyo na wajumbe kupatiwa mashada ya maua. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Ketty Silvia Kamba.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo alivishwa skavu na KIjana wa umoja wa Vijana  wa CCM (UVCCM) wakati wa mapokezi hayo. Wapili kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akitembea kwa mwendo wa ukakamavu huku akishangiliwa na wanachama wa CCM, wakati akienda eneo la kuketi baada ya kuvalishwa skafu 
Mamia ya Wananchi waliompokea Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo wakishangilia wakati wa mapokezi hayo.
Katibu Mkuiu wa CCM Daniel Chongolo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ketty Silvia Kamba pamoja na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakifurahia jambo baada ya kuketi meza kuu wakati wa mapokezi haypo
Mtoto anayefrahamika kwa jina la 'Zuchu' akitumbuiza kwa  ngonjera mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Daniele Chongolo wakati wa mapokezi hayo.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akimpongeza mtoto huyo.
Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Shaibu Akwilombe akizungumza maneno ya utangulizi na kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM mkoa huo, kuzindua rasmi mkutano wa mapokezi hayo.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ketty Silvia Kamba akizungumza na kufungua rasmi mkutano wa mapokezi hayo.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla akizungumza mwanzoni mwa mkutano huo wa mapokezi.
MKatibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akifurahia jambo na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wakati wa mkutano wa mapokezi hayo. Kushoto ni Katibu wa NEC Itrikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka.
Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam akizungumza katika mapokezi hayo.
Katibu Mkuu wa CCM na wajumbe wa Sekretarieti wote wa CCM wakipatiwa zawadi mbalimbali wakati wa mapokezi hayo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitambulisha viongozi waliofuatana na Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo wakati wa mapokezi hayo.
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akisalimia baada ya kutambulishwa na Shaka,
Ndugu Reja, akisalimia baada ya kutambulishwa.
Katibu Mkuu wa UWT Queen Mlozi akisalimia baada ya kutambulishwa
Katibu Mkuu wa UVCCM Raymond Mwangwala, akisalimia baada ya kutambulishwa
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima akisalimia baada ya kutambulishwa.
Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha wa CCM Dk. Frank George Haule Hawassi akisalimia baada ya kutambulishwa. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme

Kisha Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akamkaribisha Mndeme jukwaani.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme akizungumza na wanachama wakati wa mapokezi hayo.
Wanachama wakimshangilia Mndeme
Mndeme akisisitiza mambo muhimu wakati akizungumza wakati wa mapokezi hayo.
Kisha akamkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi kuzungumza na kumkaribisha jukwaani nKatibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo.
NNaibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi kuzungumza na kumkaribisha jukwaani nKatibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo.
Kikuni cha Tabzania One Thetre (TOT) kikitumbuiza kumlaki Chongolo jukwaani.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi kwa jumla, baada ya Katibu Mkuu huyo na Sekretarieti yote ya CCM, kupokewa rasmi katika mkoa wa Dar es Salaam, kwenye Ofisi Kuu ya CCM mkoa huo leo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi kwa jumla, baada ya Katibu Mkuu huyo na Sekretarieti yote ya CCM, kupokewa rasmi katika mkoa wa Dar es Salaam, kwenye Ofisi Kuu ya CCM mkoa huo leo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi kwa jumla, baada ya Katibu Mkuu huyo na Sekretarieti yote ya CCM, kupokewa rasmi katika mkoa wa Dar es Salaam, kwenye Ofisi Kuu ya CCM mkoa huo leo.
Wanachama wa CCM wakimshangilia katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo baada ya kuingiwa na hotuba yake
Wanachama wa CCM wakimshangilia katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo baada ya kuingiwa na hotuba yake.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akizidisha kushusha 'Nondo' katika hotuba yake na kuzidi kukonga nyoyo za wanachama kwenye mapokezi hayo. Wanachama wakazidi kumsikiliz kwa mankini
Wanachama wakimsikiliza Chongolo wa utulivu wa kutosha.
Wanachama wakimsikiliza Chongolo wa utulivu wa kutosha.
Wanachama wakimsikiliza Chongolo wa utulivu wa kutosha.
Viongozi wa TOT Tumaini na Khadija Kopa wakimsikiliza Chongolo kwa makini huku wakitabasamu
Dk. Mabodi na Kanali Mstaafu Ngemela wakimskiliza Chongolo kwa makini
Wanachama wakimsikiliza Chongolo wa utulivu wa kutosha.
Wanachama wakimsikiliza Chongolo wa utulivu wa kutosha.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla na Katibu wa Oganaizesheni Ndugu Kastiko wakimsikiliza Chongolo kwa makini.
Wanachama wakimsikiliza Chongolo wa utulivu wa kutosha.
Wanachama wakimsikiliza Chongolo wa utulivu wa kutosha.
Wanachama wakimsikiliza Chongolo wa utulivu wa kutosha.
Chongolo akipokewa kwa bashasha na Naibu wake Christina Mndeme baada ya kuhutubia.
Chongolo akiungana na viongozi wa meza kuu kufurahi baada ya kumaliza hotuba yake.
Chongolo na Mndeme wakijadili jambo baada ya kuketi mwishoni mwa hotuba yake.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa CCM Mama Katty Kamba alipokuwa akimweleza jambo, alipoketi baada ya kuhutubia
TOT wakaingia kazini baada ya Chongolo kuketi baada ya kuhutubia.
TOT wakaingia kazini baada ya Chongolo kuketi baada ya kuhutubia.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla akitangulia kuondoka baada ya kuruhusiwa na Chongolo aondoke kwenda kuendelea na majukumu mengine mwishoni mwa mkutano huo wa mapokezi.
Makalla akisalimia wazee wakati akiondoka
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akiondoka mwishoni mwa mkutano huo wa mapokezi.
Baadhi ya Wajumbe wa sekretarieti wakiondoka mwishoni mwa mkutano huo wa mapokezi. Anayeaga ni Katibu Mkuu wa UWT Queen Mlozi.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akipiga 'shoto kulia' kwenda Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba 
Katibu Mkuu wa CCM Chongolo akipandisha ngazi kwenda ofisini kwakem Ofii Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba akisindikizwa na Mkuu wa Utawala Ndugu Mwijage
Chongolo akiwa na Nibu wake Bara, Mndeme na wajumbe wa Sekretarieti kwenye eneo la mapumziko katika Ofisi yake.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akiwa na wajumbe enzake wa Sekretarieti kwenye eneo hilo la mapumziko ofisini kwa Katibu Mkuu wa CCM. Kushoto ni Ndugu Kastiko na Katikati ni Dk. Hawassi
Katibu Mkuu wa CCM daniel Chongolo akisaini kitabu huku Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme akimtazama kwa makini
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akisaini kitabu, kwenye eneo la mapumziko katika Ofisi ya Katibui Mkuu wa CCM Daniel Chomgolo. (Picha zote na Bshir Nkoromo, Msimamizi Mkuu wa Blog hii ya Taifa ya CCM)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana