Featured

    Featured Posts

KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA WANG KE, LEO JIJINI DODOMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini Wang Ke, Balozi huyo alipofika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akinukuu mambo muhimu wakati alipokuwa akifanya mazungumzo na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke, Balozi huyo alipofika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo. kwa ajili ya kuaga na kushukuru kwa ushirikiano alioupata katika utumishi wake. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme ambaye pia ameshiriki katika mazungumzo hayo
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana