Featured

    Featured Posts

KITUO CHA TARI KIHINGA, KIGOMA CHAENDELEA KUZALISHA MBEGU ZA MICHIKICHI KUTEKEKEZA AGIZO LA WAZIRI MKUU

Katika kutekeleza maagizo ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Kituo cha Utafiti cha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo nchini (TARI) kilichopo Kihinga mkoani Kigoma kimeendelea kuzalisha mbegu za zao la michikichi zitakazosambazwa kote nchini ili kuhakikisha nchi inapata mafuta ya kutosha ya mawese.  zifuatazo ni picha mbalimbali tulizotumiwa na Afisa Habari wa Taasisi hiyo yaTARI, Junior Mwemezi ambaye ametembelea kituo hicho cha Kihinga👇





 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana