Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika akichangia majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Maji bungeni Dodoma Mei 6, 2021, ameikumbusha Serikali kutimiza ahadi zilizotolewa kwa nyakati tofauti na viongozi wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli za kutatua changamoto za uhaba wa maji ya bomba katika jimbo hilo kwa kujenga miradi ya Maji.
Ndau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mwanyika akiwapambania Wananchi wa Njombe Mjini kwa kuihimiza Serikali kutatua haraka changamoto hiyo ya uhaba wa maji licha ya kuwa na mito na vyanzo vya maji ....
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203

Post a Comment