Featured

    Featured Posts

MAGESA AISHAURI SERIKALI KUJENGA VETA KILA JIMBO, KUONGEZA MTAALA WA UADILIFU SHULENI

 Mbunge wa Busanda, Tumaini Magesa ameishauri Serikali kujenga Vyuo vya ufundi kila jimbo, kuongezewa shule za sekondari  kila kata kuhimili ongezeko la wanafunzi kufuatia utoaji wa elimu bure na  kuongeza Mtaala wa uadilifu shuleni alipokuwa akichangia bungeni Dodoma, mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.


Ndau naomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Magesa akitoa ushauri huo.....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri wa Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana