Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akiingia kwenye uwanja wa Taifa Kibondo Mjini kuzindua kampeni za uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Mei 4, 2021. Wa pili kulia ni Naibu Katibu kuu wa CCM, Bara, Christina Mndeme
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akizungumza na mgombea Ubunge wa Jimbo la Muhambwe, Dkt. Florence Samizi katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za CCM katika jimbo hilo, Mei 4, 2021 Wananchi wa Kibondo wakimshangilia Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa Taifa Kibondo Mjini kuzindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo kwenye jimbo la Muhambwe. WanNaibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme akizungumza kumnadi mgombea wa CCM katika Uwanja wa Taifa Kibondo Mjini mkoani Kigoma, wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo Muhambwe, leo. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme akisisitiza umuhimu wa wananchi kumchagua mgombea wa CCM, wakati akizungumza kumnadi mgombea wa CCM katika Uwanja wa Taifa Kibondo Mjini mkoani Kigoma, wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo Muhambwe, leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme akionyesha bashasha mbele ya wananchi wakati akizungumza kumnadi mgombea wa CCM katika Uwanja wa Taifa Kibondo Mjini mkoani Kigoma, wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo Muhambwe, leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme alipokuwa akimkaribisha Mgeni rasmi kuzungumza baada ya kumuombea kura mgombea wa CCM katika Uwanja wa Taifa Kibondo Mjini mkoani Kigoma, wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo Muhambwe, leo.
Bango la Mgombea wa CCM. Uhondo zaidi BOFYA👉 HAPA usikilize Majaliwa na Mndeme walivyounguruma💪
Imeandaliwa na Bashir Nkoromo- CCM Blog
Post a Comment