Featured

    Featured Posts

MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AWAYEMBELEA ASKOFU PENGO NA ASKOFU RUWAICHI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na kuzungumza na Askofu Mkuu Msataafu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Kardinal Poycard Pengo wakati alipomtembelea Ofisini kwake katika Kanisa la St. Jeseph Jijini Dar es Salaam leo Mei 07,  2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam Jude Thaddaeus Ruwchi, alipomtembelea Ofisini kwake katika Kanisa la St. Jeseph Jijini Dar es Salaam leo Mei 07, 2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana