Featured

    Featured Posts

WIZARA YA ELIMU YAZINDUA MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA+video

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Juma  Katanga amezindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma Mei 6,2021. 

 Madhumuni ya Mkataba huo ni makubaliano kati ya mtoa huduma yaani Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na wateja ikiwa ni ahadi ya kutoa huduma bora kwa wateja . Mkataba huo unaelekeza na kuanisha viwango vya huduma ambavyo wateja wantarajia kupata ili kufikia malengo yao.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Juma Katanga (katikati) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Leonald Akwilapo (kushoto) pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, wakiwa na mikataba hiyo baada ya kuzindua.
Katibu Mkuu, Dkt. Akwilapo akionesha mktaba baada ya kukabidhiwa.
Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Elimu na taasisi zake wakiwa kwenye hafla hiyo.

Naibu Waziri Katanga, akielezea umuhimu wa watumishi kuzingatia mkataba huo wakiwa kazini.






 Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Naibu Waziri Katanga akizindua na kugawa mkataba huo kwa baadhi ya viongozi ....

 

 Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 

Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 

0754264203

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana