Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akikabidhi msaada wa vyakula kwa watoto waishio katika Kituo cha kulelea Watoto Wenye Mahitaji Maalum wanao lelewa katika Sekondari ya Vituka, iliyopo Yombo Vituka Dar es Salaam, kuanzia kushoto ni Mlezi wa Kituo hicho, Sarah Aloyce, Mwanafunzi kidato cha Sita, Dodoluck Charles, aliyevaa flana nyeupe ni Mwanafunzi kidato cha Sita Frank Haule na kulia ni Katibu Wazawi Kata ya Vituka Mohamed Magoto. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Post a Comment