Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera, Bernadeta Mushashu akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, ameitaka serikali kufanya mkakati wa kutoa vibali waalimu waajiliwe ili wanafunzi wapate elimu tarajiwa.
Amesema kuwa kwa Mkoa mmoja wa Kagera una upungufu wa walimu 7607 wa shule za msingi na 1340 wa sekondari. Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mushashu pamoja na mambo mengine akielezea umuhimu wa kutoa ajira kwa walimu.....
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment