Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwasili katika Uwanja wa Kololo, kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni zilizofanyika katika uwanja huo uliopo Kampala nchini Uganda leo tarehe 12 Mei, 2021.
RAIS SAMIA AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MUSEVENI NCHINI UGANDA, LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na kumpongeza na Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya Sherehe za Uapisho zilizofanyika katika uwanja wa Kololo Kampala nchini Uganda, leo
Post a Comment