Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameibana serikali kwa kuhoji ni linivijiji 20 jimboni humo vitaingizwa kwenye mpango wa kuwekewa umeme wa REA na tatizo la ukatikaji wa mara kwa mara wa umeme utaisha?
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mwanyika akihoji wakati wa maswali na majibu bungeni Dodoma pamoja na majibu kutoka Wizara ya Nishati.
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment