Featured

    Featured Posts

RAIS DK.MWINYI AELEKEA NCHINI MSUMBIJI KUHUDHURIA MKUTANO WA SADC

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati akielekea Nchini Msumbuji kuhudhuria Mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Msumbiji kuhudhuria Mkoato wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo Msumbiji

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Msumbuji kuhudhuria Mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo Msumbiji.(Picha na Ikulu)

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana