Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki mkutano wa kujadili namna ya kuokoa uchumi wa nchi za Afrika na kukabiliana na athari za ugonjwa wa Korona (Covid-19) kwa njia ya mtandao. Mkutano huo unaofanyika Paris nchini Ufaransa.
Post a Comment